iqna

IQNA

ayatullah isa qasim
Ayatullah Sheikh Isa Qassim
TEHRAN (IQNA)- Mwanazuoni wa ngazi za juu nchini Bahrain Ayatullah Sheikh Isa Qassim amesema kuanzisha uhusiano wa kawaida na kati ya nchi za Kiarabu na utawala wa Kizayuni wa Israel ni kinyume cha matakwa ya wananchi katika nchi hizo.
Habari ID: 3473165    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/13

TEHRAN (IQNA) - Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Bahrain Ayatullah Sheikh Isa Qassim amesema Wabahrain wataendeleza mapambano yao ya kisiasa hadi haki zao zitambuliwa na watawala wa nchi hiyo.
Habari ID: 3472990    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/23

TEHRAN (IQNA)- Utawala wa Aal Khalifa ukiungwa mkono na Saudi Arabia na Marekani umepanga kuchukua uamuzi wa kumbaidisha Ayatullah Sheikh Isa Qassim mjini Najaf Iraq lakini wakuu wa Iraq wamepinga pendekezo hilo.
Habari ID: 3470993    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/25

Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa taarifa kulaani hatua ya Bahrain ya kumvua uraia Ayatullah Isa Qassim.
Habari ID: 3470405    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/21

Utawala wa kiimla wa ukoo wa Aal Khalifa Bahrain umeendeleza ukandamizaji mkubwa kwa kumvua uraia mwanazuoni mkubwa na mashuhuri wa Kiislamu nchini humo Ayatullah Issa Ahmad Qasim.
Habari ID: 3470404    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/21